Bei ya Pamba Sasa ni Tshs 800/-
Bodi ya Pamba inawatangazia kuwa Bei ya Pamba kwa sasa ni Tshs 800/-. Mnunuzi atakayenunua kwa chini ya shs 800 taarifa zitolewa kwa mkaguzi wa Pamba wa Wilaya. Kushuka kwa bei ya Pamba ni matokeo ya kuporomoka kwa bei ya pamba katika soko la dunia na pamba yetu kukosa soko







